Tanzania imebarikiwa kuwa na vipaji lukuki, ukizungumzia mpira wa miguu wapo vijana wanaowakilisha vemaTaifa letu ughaibuni akiwemo Mbwan...
Saturday, February 18, 2017
Friday, February 17, 2017
Msanii na mtayarishaji wa muziki wa The industry, Nahreel amefunguka sababu kubwa iliyomfanya kumpenda mpenzi wake Aika, ambaye wanaunda ...
Msanii, mwigizaji na TV na movie Producer kutoka Marekani Queen Latifah ni miongoni mwa mastaa watakaotunukiwa tuzo za heshima na “The...
Baada ya kuwa na malalamiko kuhusu kipengele cha “Album of the year” kwenye tuzo za Grammy kuwa kwamba kinabagua watu kwa rangi zao, ...
Wimbo mpya wa rapper Nikki Mbishi, I’m Sorry JK umefungiwa. Uamuzi huo umekuja saa chache baada ya rapper huyo kuitwa na Baraza la Sanaa...
Hatimaye Alikiba amekabidhiwa tuzo yake ya MTV EMA – Best African Act aliyoshinda mwaka jana. Staa huyo wa Aje amekabidhiwa tuzo hiyo nch...
Baada ya kufanya vizuri na hit songs kadhaa zilizompelekea kufanya shows nyingi hatimaye mkali huyo wa kujiamini katika game ya Bongo Flava...
Friday, February 10, 2017
Katika viwango vya ubora wa soka Duniani vilivyotolewa na FIFA kwa mwezi February, rekodi inaonyesha namba 1 imeshikwa na Argentina ...
Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph ‘Sugu’ Mbilinyi amelaani kitendo cha mamlaka ya mawasiliano nchini, TCRA kuzizuia online TV kuendelea kufanya...
Ligi kuu ya Uiengereza itaendelea hapo kesho ikiwa ni wiki ya 25 tangu michuano hiyo ianze kutimua vumbi na ratiba kamili ni hii hapa chi...
Katika ile list ya ma-producer wanaofanya vizuri kwa sasa kwenye muziki huu wa bongo fleva basi huwezi kuacha jina la producer Abbah Pro...
Tuesday, February 7, 2017
Rapper G-Nako ametaja kitu anachokiangalia kwa msanii ambaye anataka kufanya naye kolabo. Hitmaker huyo wa OG, amedai kuwa vitu vikubwa an...
Friday, February 3, 2017
Wema Sepetu amezindua rasmi app yake, WS, kwenye jukwaa la app la simu za Android, Google Playstore. App yake inapatikana bure kabisa. Uk...
Rapper Roma Mkatoliki ameonekana kukerwa na mkewe mama Ivan. Mkewe huyo ambaye kwenye mtandao wa Instagram anatumia jina la @mrs_roma...
Tuesday, January 24, 2017
Rais wa Marekani Donald Trump ametia saini agizo rasmi la rais kupiga marufuku kutolewa kwa pesa za serikali ya Marekani kufadhili mashirik...
Diva The Bosslady ametufungulia hadi ndani ya ulimwengu wake mpya wa mapenzi. Amezama, ameoza katika penzi la msanii wa ‘Nakukumbukaga’, H...
Rapper Young Killer kutoka Mwanza ameonesha kuumizwa na uchache wa vipindi vinavyozungumzia muziki wa hip hop katika vituo vya redio mbalim...
Wednesday, January 18, 2017
Vyombo vya habari nchini Marekani vimesema kuwa aliyekuwa rais wa taifa hilo George Bush anapata matibabu katika hispitali moja ya Houst...
Wafalme wa Manzese, Madee na Nay wa Mitego, wameirejesha tena bifu yao. Imerudi upya baada ya Madee kuandika mstari kwenye wimbo wake mpy...
Licha ya kufungwa kwa penati na Ghana timu ya Uganda imeonesha kiwango cha hali ya juu na kuweza kuwafunika wachezaji wa Black Stars wan...