Ads

test

Friday, December 30, 2016

List ya Mastaa 10 wanao endesha Magari makali Tanzania - 2016

List ya mastaa 10 wa Bongo ambao wameongoza kwa mwaka huu wa 2016 kwa kumiliki magari yenye thamani kuliko wote.
Kama kawiz nimeichukua na kuisogeza hapa karibu yako ili uweze kuisanukia list hiyo kuanzia namba 1 hadi namba 10 ya mastaa ambao wametisha kwa ku-push mikoko mikali.


1:      Masoud Kipanya – Hummer H3



 2:Diamond Platnumz & Masanja Mkandamizaji – BMW X6
  
 
 3:Quick Rocker – Range Rover Sport


 4:Wema Sepetu – Range Rover Evoque

 5: Gadner G Habash & Shetta – Discovery 3



6:Alikiba – BMW X5
 

7: Madee – Prado 2008


8:Nay wa Mitego – Prado 2005
 
 
 
 
9:Idris Sultan – BMW M3
10:Professor Jay – Toyota Land Cruiser

No comments:

Post a Comment