List ya mastaa 10 wa Bongo ambao wameongoza kwa mwaka huu wa 2016 kwa kumiliki magari yenye thamani kuliko wote. Kama kawiz nimeichukua na...
Friday, December 30, 2016
Mwaka 2016 upo ukingoni kumalizika. Umekuwa ni mwaka mwingine wenye mafanikio makubwa katika tasnia ya muziki wa Tanzania. Japo kuna mambo ...
Thursday, December 29, 2016
Kwanza kabisa ningependa nichukue nafasi hii kukupongeza kwa mafanikio makubwa ya single yako ya Muziki, kiukweli ni nyimbo ambayo kwa m...
Huenda mwaka 2016 ukawa unaenda kuisha vizuri kwa wakilishi wetu kujinyakulia tuzo huko Ghana. Usiku wa December 28 2016 ...
Diamond amekuwa ni mmoja kati ya wasanii ambao wanaendesha maisha yao kibiashara, kuthibitisha hilo ni hivi tunavyoona mambo yanayo endelea...
AIM ni album ambayo ilikuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa na wapenzi wote wa muziki mzuri hapa Bongo na hata East Africa kwa ujumla. Ba...
Katika kuelekea kuumaliza mwaka huu wa 2016 kila mmoja anakuwa na kumbukumbu ya mambo muhimu ambayo yamemtokea ndani ya mwaka hadi kufiki...
Mzimu wa Mendez wa kuzima Mic za watu umedondokea pande za Detroit na kumsababishia Trey songz kufanya majanga stejini. Trey Song...
Mtando wa dailymaily.co.uk umetoa orodha ya makocha 20 waligi kuu ya Uingereza ambao wanavaa saa za thamani zaidi – kocha wa Bur...
Mwaka 2016 ulikuwa na mafanikio makubwa kwa Tekno. Hit yake Pana ilifika katika level ambazo nyimbo zake hazijawahi kufika ikiwa ni pamo...
Tuesday, December 27, 2016
Bunge la Cuba limepitisha kwa kauli moja katazo la kuzuia majengo, mitaa au minara ya kumbukumbu kupewa jina la mwanamapinduzi mkongwe nc...
Waziri Mkuu wa Japan Shinzo Abe ametoa salamu za rambirambi kwa Wahanga wa shambulio lililofanywa na nchi yake katika Bandari ya Pearl, ...
Msanii mkongwe wa muziki Dully Sykes ameweka wazi kuwa na yeye yuko mbioni kuanzisha lebo yake ya muziki kwa lengo la kukuza vipaji vya vya ...
Kwa mara ya kwanza, Jumanne hii, Ambwene Yessayah aka AY amemtambulisha girlfriend wake ambaye ajabu amekuwa naye tangia mwaka 2008. Aki...