
Baada ya kutangazwa kwa muda mrefu hatimae Navy Kenzo wamenyoosha maelezo siku rasmi ya kuiachia album hiyo
Ni mwanadada Aika wa kundi la Navy Kenzo ndiye ambaye ametusanua juu ya hilo kupitia ukurasa wake wa Instagram na kutoa mualiko kwa yeyote ambaye atajisikia kufika Hyatt Regency Level B siku ya jumamosi kwa mtonyo ta elfu 50 tu za kitanzania.
No comments:
Post a Comment