Ads

test

Tuesday, December 20, 2016

Duke Tachez aachia Album yake kama zawadi ya xmass 2016 EP

Producer mahiri nchini kutoka MLAB, Duke Tachez, ameachia EP mpya aliyowashirikisha rappers mbalimbali
2016 EP yenye nyimbo 5.
                                
“Ni EP mpya aliyoshirikisha vichwa mbalimbali wa hip hop boombab rap,” inasema taarifa kuhusiana na EP hiyo. “Vichwa kutoka Maskatiaz, Dom Down Click, Adam Shule Kongwe, Genii Blakk kutoka Malawi Boshoo, Tanga Boy, Raheem Meker.”
              
“Ni zawadi ya Christmas iliyotolewa na uongozi mzima wa MLAB chini ya Duke.”

No comments:

Post a Comment