Ads

test

Thursday, December 29, 2016

Billboard yamtaja Tekno miongoni mwa wasanii 10 duniani wa kuwaangalia 2017

Mwaka 2016 ulikuwa na mafanikio makubwa kwa Tekno. Hit yake Pana ilifika katika level ambazo nyimbo zake hazijawahi kufika ikiwa ni pamoja na kuwadatisha mastaa kibao wa Marekani wakiwemo Trey Songz, Ludacris na wengine.

Na sasa mtandao wa Billboard, umemtaja msanii huyo wa Nigeria miongoni mwa wasanii 10 duniani wa kuwaangalia mwaka 2017.
“Tekno already has a number of hits in Nigeria, and Columbia Records took note, throwing its weight behind this agile, elastic-voiced singer. Tekno’s “Pana,” which has already accumulated more than 13 million views on YouTube and inspired a minor version of a video challenge, is romantic and light on its feet with little more than a nagging guitar line and squirts of bass, everything pegged to a serpentine forward march,” wameandika Billboard.

“There’s clearly a demand in the mainstream for feathery dance cuts like this one: close your eyes and imagine a smart radio programmer cueing this up after Drake’s “Too Good.”
Wengine waliotajwa ni pamoja na Kehlani, Aminé, YFN Lucci, Leela James, Kodie Shane, Princess Nokia, Guordan Banks, Khalid na H.E.R.








No comments:

Post a Comment