Mchezo huo unao subiriwa kwa hamu na wadau wengi wa soka utakuwa wa
kwanza kwao kukutana kwa mwaka 2017 kwenye kombe la Mapinduzi.
Timu ya Yanga wanaingia kwenye mchezo huo wakiwa na majeruhi baada ya kupata kipigo cha magoli 4 kwa bila dhidi ya Azam, wakati Simba wao wakiwa na rekodi nzuri kwenye mashindano hayo wakiwa hawaja poteza mchezo hata mmoja.
Ben Pol anaonesha kumshangaa Sappy kwa kitendo cha kusema amewachukulia wimbo wao wakati sivyo. “Unajua sijaelewa kabisa hii issue ilivyokaa kwa sababu huu wimbo nimeandika neno moja moja,” Ben amemuambia mtangazaji wa Ice Fm, Gami Deetz
Mkali huyo wa Phone amefananisha kitendo hicho kama kujenga nyumba yako inaisha halafu baadaye anatokea mtu anasema nyumba ni yake. Alipoulizwa kwanini Sappy kaamua kufanya hivyo Ben Pol amesema, “Labda anataka aonekane, afanye kazi ataonekana haina haja ya kutengeneza drama.”
Kwa upande mwingine, Ben Pol amesema tarajia album kutoka kwake ambayo itatoka mwezi ujao (February) ikiwa na ngoma 12 ikiwepo Moyo Mashine Remix ft Chidnma, Phone ft Mr Eazi, Natuliza Boli, Bozimba ft Chidnma n.k.

No comments:
Post a Comment