Mwaka 2017 ndio mwisho wa mapenzi ya Wolper na Harmonize.
Wolper ameamua kuwashangaza mashabiki zake kwenye kurasa yake Instagram kwa kuposti picha ya Harmonize huku akiweka caption ya kwamba Nina akili timamu me syo mtoto mdogo, endelea na maisha yako it over waambie rasmi usifiche @harmonize_tz i hate love.”
Posti hiyo ambayo ilifutwa baada ya muda mfupi imewashangaza mashabiki na kuwawekea maswali, kuwa ni ujio mpya wa ngoma ya Harmonize au,? ni kweli mwaka huu wa 2017 umeanza na doa kwenye penzi lao?.
Niachie Comment yako niambie hiyo inaweza kuwa ni nini?

No comments:
Post a Comment