Tovuti ya Forbes imemtangaza Mkurugenzi wa kampuni ya METL, Mohammed
Dewji kuongoza orodha ya matajiri vijana kwa Afrika akiwa na umri wa
miaka 41.
Utajiri wa Dewji umetajwa kuwa ni dola bilioni 1.4. Wakati huo huo ametajwa kushika nafasi ya 16 kwenye orodha ya matajiri wote Afrika huku Aliko Dangote wa Nigeria akiendelea kukalia kiti hicho akiwa na utajiri wa $12.1 bilioni.
Kwa upande wa wanawake mtoto wa Rais wa Angola, Isabel dos Santos anaongoza kwa kuwa na utajiri wa $3.2 bilioni akifuatiwa na Folorunsho Alakija wa Nigeria mwenye utajiri wa $1.6 bilioni.

No comments:
Post a Comment